Nakumbuka wakati tuko shule ya upili kuna jamaa alikuwa mnazi sana wa hesabu, siku moja mwalimu wa Historia yuko darasani kumbe jamaa yeye yuko busy anatiririka na namba, si ticha akamuuliza swali la ghafla: "Beni hebu tujadili athari za vita ya pili ya dunia kwa Tanganyika", jamaa akaropoka 16!!!