Moon Tower Dubai

Waache waende zao....Pesa yao wanaitumia vizuri sana akitika kulipendezesha jiji lao.
 
Hivi nani amesema huwezi pata lambalamba jangwani?
 
Hivi wana mafuta? maana imetoka, Misri, imekuja Libya, sasa Syria halafu sijui. Maana hii miji mizuri kama Jerusalem haikawii kuonewa vijicho na wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…