Hi Wadau!
Natumai hamjambo, kuna wimbo mmoja wa Monika Seka sijui unaitwaje ila nakumbuka kuna sehemu anaimba "guantanamera guantanamera....." naomba kwa mdau yoyote alionao aupload au aweke link yake niweze kudownload.
Aksanteni.

Mkuu! mimi ninao huo wimbo ila ni wa Julio Iglesias. kwa uwelewa wangu huo wimbo uliiimbwa miaka 30 iliyopita na mwanamuziki wa kike maarufu kutoka nchini mexico (jina limenitoka) ambaye baadae alihamia nchini marekani. pia sina hakika ni nani alianza kufyatua kibao hicho kati ya huyo mama na Julio Igesias. bado sina ujuzi wa kukandamiza hapa ila nipo mbioni.