Money talks.... Ni noumaaaa!!!

hii imeshaletwa hapa jamvini mkuu,.. Hata hivyo shukrani kwa kuendelea kutujuza!! Hapa umebadili title ya thread tu ila content ni zilezile,...
 

Admin unganisha hii nyuzi na ile nyingine
 
Ila kweli mi naanda milion 1 ya kuwagonga mno.
 
 
Last edited by a moderator:
y
Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu
sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa
Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii
mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu
MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K
Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu
kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes
Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu
hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby
akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala
mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au
hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie
Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa
kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the
best thing ever to happen in my life...Hiyo
inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2
ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my
Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake
nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama
unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA
NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…