Mwanga Kilimanjaro ndio bora nchini mleta mada tunachagua rais wa nchi sio chato na munduli
Kafanya mambo makubwa saaana, yapi????? Taja kama kweli wajua!!!
Chato kuna taa za barabarani.. Kwi kwi kwi😂😂
Asante sana kwa mchango wako! Upi wito wako kwa Watanzania kwa ujumla?Asante sana mleta mada. Kwanza Monduli hakuna shule za kata, shule zote ni bweni, pili kuna hospitali kubwa, nzuri na huduma safi kuliko ya mkoa (mt. meru) , tatu barabara ni lami, nne ardhi ya monduli ni kame (hakuna mto wala ziwa wala bahari) ila ametoa maji Meru ambapo wanaoishi meru hawana maji ila monduli wana uhakika wa maji safi! mpo apo? LOWASSA ANATUFAA KWA KIZAZI HIKI NA KIJACHO!
BIG UP UKAWA KWA KUPATA JEMBE.!!!!!
Tunaomba wenyeji wa majimbo haya mawili watuambie ukifananisha majimbo haya mawili ni jimbo gani liko katika hali nzuri zaidi kimaendeleo?
Shida za wananchi ni nani anayezijua zaidi jimboni kwake? Vipi kwa muonekano wa hali za wananchi kiuchumi kwa ujumla wake pia?
Hebu tuangalie Elimu, afya, Umeme, maji, chakula, barabara nk.
Nimeuliza hili Swali kwa nia njema tu kwa sababu hawa waheshimiwa wagombea Urais wote wawili wamekua wabunge na Mawaziri muda mrefu!Je ni nani kati yao aliyezijua shida za wananchi mapema na akawasaidia kiukweli hasa?
Kama mtu amezifahamu shida za wananchi wa jimboni kwake mapema na akawaweka vizuri kimaendeleo basi huyu ndiye atakayewavusha watanzania wote na ndiye anazijua shida za wananchi wote.
Asante sana kwa mchango wako! Upi wito wako kwa Watanzania kwa ujumla?
Hawa wamasai wanaotangatanga na ngombe wao hawatoki monduli? Basi lowasa atakuwa mbinafsi sana.
Chato kuna mpaka taa za kuongozea magari