Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

Kama amefanya haya yote kabla ya kuwa Rais, na urais anaununua kila siku siku akiupata atakuwa hatofautiani na aliyepata uraisi kwa kuingia msituni. Lowassa ni mhasi dhidi ya nchi yetu
 
kulalamika ndo style yenu, mlishakakalilishwa na viongoz wenu kila kitu kulalama tu gjata kama gjakuna uhalali
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Ikishinda ccm wameiba ikishinda chadema nguvu ya umma. Daaa hiki chama depending on matukio bana, no Sera zaidi ya ufisadi na wizi wa kura
 
Kama ndio hivi Huyu El atavuna alicho kipanda asifiliki kwa kuukamia hivi urais ndio ataupata na mtu anae kamia hivi Mara nyingi Hafanikiwi "Mkamia Maji hayanywi" huyo ndio el
 

This country now is full of people who can't think,hivi Lowassa ndo alikuwa msimamizi wa uchaguzi siyo?Basi mwandikieni Hawa Ghasia amfukuze kazi
 
Hapo kwenye KUMUANDUKIA BARUA MKUU WA WILAYA NDIO MNANIACHA HOI....KESI YA NYANI UNAMPELEKEA NGEDELE....
LOWASA ATAKUJA KUWA DIKTETA KULIKO PINOCHET
 
Hivi ccm wanafikiria watanzania wa leo ndio wale wa miaka ishirini iliyopita?
 
Mungu amebalance udikteta kwenye afya, bora afe na Parkinson disease aliyonayo wananchi wa Monduli wapumzike
 
kuna kila dalili ya ndugu lowasa kusababisha VITA YA MISHALE MONDULI .
 
Huu ni UHUNI! Kama ni kweli EL kafanya hivi, basi hakuna namna nyingine ya kumwita ila ni MHUNI na MHUJUMU!....... Hafai kuwa Kiongozi wa Umma!
 
Sijui kwanini mpaka sasa mkurugenzi wa halmashauri ya Monduli hachukuliwi hatua yoyote kama bi Hawa Ghasia alivyojigamba.
 
Edward Ngoyai Lowassa alaaniwe!

CCM walaaniwe kwa hila na uovu huu!

MUNGU ibariki CHADEMA!

MUNGU ibariki TANZANIA!
 
kulalamika ndo style yenu, mlishakakalilishwa na viongoz wenu kila kitu kulalama tu gjata kama gjakuna uhalali

Siasa haina mjukuu.

Hivyo basi wewe subiri kisu kigeuke upande wa pili halafu uje hapa kama ulivyokuja leo.


Kumbuka, Historia ni mwalimu mzuri sana. Muda ni hakimu mzuri sana vile vile.

Mark my words.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…