Utaambiwa wanahifadhi utamaduni
Du! Wanatia huruma..!
Nachukia sana umasikini. Huu unafiki mwisho 25 October.Hapa kazi tu
maendeleo yaliyopo monduli huwezi fananisha na msoga hata kidogo.
kwanza elimu kule monduli wapo seriously..
uchumi wa mtu mmoja mmoja.
watu wanafanya kazi sio kelele na kukaa vijiweni na kunywa kahawa.
Have u ever been there? Hiyo ni hifadhi mkuu usipende kukariri elewa kwanza
VIVA UKAWA!!!
porojo hizoNachukia sana umasikini. Huu unafiki mwisho 25 October.Hapa kazi tu
Nachukia sana umasikini. Huu unafiki mwisho 25 October.Hapa kazi tu