pole sana,vipi yeye yuko salama lakini?Asanteni sana wakuu...Mmenifariji sana na Nikafarijika
Finally nimeweza kuongea na my brother saa 8 mchana
aliporwa simu, wengine wamekatwa mapanga na kuporwa mali zao
mbalimbali, gari lilitekwa tabora, alipotekwa alimu-sms sista, then akawa
hapatikani mpaka sa 8 leo...thx very much for ur support
pamoja wana-JF
Asanteni sana wakuu...Mmenifariji sana na Nikafarijika
Finally nimeweza kuongea na my brother saa 8 mchana
aliporwa simu, wengine wamekatwa mapanga na kuporwa mali zao
mbalimbali, gari lilitekwa tabora, alipotekwa alimu-sms sista, then akawa
hapatikani mpaka sa 8 leo...thx very much for ur support
pamoja wana-JF
Mkuu mombasa raha imeua dada yetu magu j4 baada ya kugonga gari ndogo. Jamani haya mabasi ya shinyanga muwe mnajali maisha ya watu wengine. Au mnataka nchi nzima yawekwe mabamps kama huko kwenu shinyanga? Hivyo itakuwa haina maana ya kuwa na barabara nzuri..