figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,638
- 62,532
Kwahiyo watakuwa wanapiga mbizi ?
Haaaaa haaaa hasira nyingine jamaniHaahaha watakuwa wanamuunga mkono jiwe mtakatifu mtukufu kiongozi mtarajiwa wa malaika
Posta hadi KigamboniKwahiyo watakuwa wanapiga mbizi ?
Liwalo na liwe, potelea pote. Baniani iko kosa mungu iko kosa.Kwahiyo watakuwa wanapiga mbizi ?