Duuuh haya mabasi sasa tutaogopa kuyapandaKuna taarifa ajali ya New Force eneo la mpaka wa momba - mbozi eneo la kwa wachina hakuna vifo lakini kuna majeruhi. Taarifa zaidi tutawaletea kadiri tutakavyo pata.
Momba miezi miwili ajali mbili, Morogoro ajali moja, miezi miwili ajali tatu, jamaa wako makini sana na habari za barabarani!Yaani kukuta Bus la New Force limepata ajali ni mara chache sana, jamaa wako makini sana na habari za barabarani
Kama sikosei huu mwaka tu ajali zake ni zaidi ya 3.Yaani kukuta Bus la New Force limepata ajali ni mara chache sana, jamaa wako makini sana na habari za barabarani