udini unatokea wapi?, wewe ndo unataka uleta. Hapa tunazungumzia tamko lilotolewa kwa taasisi za dini juu ya tuhuma ilizopewa. Nahisi wewe ni ccm kwan ndo mlichokaririshwa na chama chenu kwamba chochote kitakachozungumziwa kinahusu dini basi ni udini. Tuhuma zilielekezwa kwa dini zote. Haya tufafanulie udini katika coment yangu unajidhihirisha wapi..?