Kama watanzania ndio mambumbumbu kabisa wa simu wakati wakiendesha. Utakuta jitu liko barabarani akili zote zimehamia "makalioni" kiasi cha kujisahau liko barabarani simply linaongea au linachat. Hivi ni simu gani ya muhimu kihivyo itakayokufanya uongee kutoka Mbezi hadi Ubungo? Tena mara nyingi simu za aina hiyo huwa umbea wala hamna la maana. Trafiki kamateni hayo majinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.