Nimejaribu kufuatilia kauli mbalimbali za viongozi wa CCM hakika watu hawa hawamwogopi mungu. Leo nimepigiwa simu na moja wa kiongozi mashuhuri wa CCM aliyeweka kambi jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba na kuniambia kwamba jana wameua kitoto kichanga kama kutoa kafara ili washinde kata hiyo. Ameongeza na kudai imemsikitisha sana na kumhuzunisha ndio maana ameamua kutoa siri hii. 'mimi sijahusika kabisa bwana mdogo ila kuna wenzangu ndo wamefanya hiyo dhambi'. Nimemuuliza kwanini unaendelea kukipigia kampeni chama icho ilihali unajua dhambi iliyotendeka?. Amekata simu na sasahivi kila nikimpigia inaita mpaka inakata. Wana jamii naendelea kufuatilia kisa hiki kujua ukweli uko wapi.
Kuwa CCM maana yake wewe ni SHETANI. Unasubiri kuchomwa moto.
Hii ni story ya kupika, hivi ni nani atayekubali kutoa kachanga kama kafara?
Bado hainingii akilini,
Siyo siri CCM ina matatizo.Usiwawekee dhamana CCM, kama Mwakyembe mwenzao kabisa wamemtwanga Polonium 210 ndio iwe kitoto kichanga?? Kule Igunga walimtoa kafara kada wao, muulize Mwigulu anaijua hiyo ishu
Una ogopa kufa?Mungu ata kuua ata namaria.Siyo siri CCM ina matatizo.
Lakini comments nyingine ni too simplistic.
Watu msisahau kuwa Rais JF Kennedy aliuwawa na watu wanaosadikiwa kutoka NDANI ya serikali.
Bila analysis ya matatizo hayo ya chama tawala tutaohia soga tu.
don-oba umeleta umbea hapa jamvini,hv wewe na wenzio ni lini mtakuwa kifikira,kimawazo na kibusara?are real great thinker?