Ultimate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 713
- 1,738
Dhu kila mara nikisoma hii habari inanipa moyo wa kuendelea kufanya kwa bidii jambo lolote lililopo mbele yangu
huwa nabaki najiuliza kawa hawa wameweza je kufika huku sisi tuna shida gani kwa maana africa hamna kijana hata mmoja kwenye list sitaki kuamini eti AFRICA hamna frusa kama mabara mengine tushidwa yani nchi 50+ tunashidwa kuingiza hata mtu mmoja kwenye list ya mabilionea hata top 50 ya forbes. mm naamini kuna siku tutakua na MTZ mmoja aliye zaliwa kati ya '1995-2005' (kwanini '95-05' hapa ukiangalia waliozaliwa 94< wengi wao hawana matarajio makubwa wengi wanawaza nimalize kusoma nipate kazi alafu mengine mungu atapanga infact hawana 'udhubutu' na 05> wengi wao ni watoto wa kizazi cha FB, Insta, whatsapp unakutana na mtoto hawezi ata kutengeneza gari la waya, hajui kombolera, kucheza golori lakini unakikuta kiki shika SM kina jua sehemu ya kuselect mtandao usome 4G au 3G hapa sasa utatengemea nini tena) atake kuja kuwa moja ya mabillioner 5 wakubwa duniani kwa rate za FORBES. ni mda sasa wa watanzania na waafrica kupeana support ili tusibaki bara la kutengemea aid's na rambilambi kutoka ulaya kuona frusa zilizopo mbele yetu na ku take action
Vijana walio tajiri zaidi duniani