Moi watatuchoka

Hehehehehee shurti kuvaa viatu vya spring. Kumbe ni kweli milango iko upande wa barabarani, sasa kwa nini wasichonge milango mingine upande unatakiwa? Au tuba dili mfumo wa kuendesha magari tuwe keep right ili mwendo kasi ufanye kazi sawa? Hehehehee

Sitashangaa kusikia hii nayo nj siasa na ni jibu linalosubiri kukamuliwa looh.
 
Pia, kuna mwendokasi kweli hapo maana naona mbele kuna Vx.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…