Nimefurahi sana kuona speech nzima anaongelea Tanzania; Kenyans and Rwandese cannot help it without referring to Tanzania.
Hivi tangu lini Daniel Arap MOI aitakie mema Tanzania?
Majirani wengi wanatamani mabaya yatukute but forget one thing kwamba this election is NOT ABOUT LOWASSA, CCM, UKAWA or KIKWETE. Its simply about us.
Wakenya lazima wakumbuke kwamba kilichochangia vurugu kwao siyo mfumo mbovu wa KANU bali ni siasa za KIBAGUZI na za kikabila ambazo mizizi yak kwani wewe ni mtoto wa chekechea,unaamini chochote uambiwacho?Wakenya wengi hawajui kama tanzania kuna uchaguzi.Hatuna mda huo fanyeni mambo yenu kimya kimya wacheni umbea.Moi hajanena lolote,wala Uhuru,wala Ruto.F.U!
Someni historia kwanza ndio mje kuandika. Tanzania hata siku moja haiwezi kuchagua Jambazi Kuongoza nchi. Watu wanaangalia picha kwenye face book, twitter na forums wanafikiri CCM wako chini watashangaa wenyewe kwenye sanduku la kura. Itakuwa kama Labour vs Conservative, Labour walijiona kwamba wao ni lazima washinde, ndio sawa na Ukawa. Ukawa ni nani kama sio bunch of thugs.
Vya Kenya huvielewi,fyata mdomo usije ukatuambukiza ujinga!Hakuna anayeshughulika na uchaguzi wenu huku Kenya.Fanyeni mambo yenu kimya kimya acheni umbea kama wanawake,aah wanaume watz na umbea na udaku!Hata wanawake wakenya hawana udaku kama wanaume watz,mie huwa nawashangaa sana.Kwenye mambo ya uchaguzi tz Moi hajanena chochote hata Uhuru wala Ruto,jiulizeni kwanini?Shenzi type!
uchuchu hasira CCM imekwenda na majiNimefurahi sana kuona speech nzima anaongelea Tanzania; Kenyans and Rwandese cannot help it without referring to Tanzania.
Hivi tangu lini Daniel Arap MOI aitakie mema Tanzania?
Majirani wengi wanatamani mabaya yatukute but forget one thing kwamba this election is NOT ABOUT LOWASSA, CCM, UKAWA or KIKWETE. Its simply about us.
Wakenya lazima wakumbuke kwamba kilichochangia vurugu kwao siyo mfumo mbovu wa KANU bali ni siasa za KIBAGUZI na za kikabila ambazo mizizi yake imeanzia mbali ni nikubwa hata kuliko KANU.
Vivyo hivyo kwa Wanyarwanda,kiliacharibu nchi yao ni siasa za Kibaguzi na Ukabila uliokithiri ambao mpaka sasa unaendelea kuitafuna Rwanda.
In Tanzania watu wanataka the leading Elites wa CCM watoke na washughulikiwe kwasababu ndiyo maadui wa kwanza wa Muungano wetu na ustawi wetu.
Hilo la ukabila Tanzania halipo limebakia utani tuu...
Kenyans and Rwandese should just focus on parching up their wounds which have been inflicted by severe tribal politics and religious differences and let Tanzanians worry about their tomorrow.
super 😁😁😁nimefurahi sana kuona speech nzima anaongelea tanzania; kenyans and rwandese cannot help it without referring to tanzania.
Hivi tangu lini daniel arap moi aitakie mema tanzania?
Majirani wengi wanatamani mabaya yatukute but forget one thing kwamba this election is not about lowassa, ccm, ukawa or kikwete. Its simply about us.
Wakenya lazima wakumbuke kwamba kilichochangia vurugu kwao siyo mfumo mbovu wa kanu bali ni siasa za kibaguzi na za kikabila ambazo mizizi yake imeanzia mbali ni nikubwa hata kuliko kanu.
Vivyo hivyo kwa wanyarwanda,kiliacharibu nchi yao ni siasa za kibaguzi na ukabila uliokithiri ambao mpaka sasa unaendelea kuitafuna rwanda.
In tanzania watu wanataka the leading elites wa ccm watoke na washughulikiwe kwasababu ndiyo maadui wa kwanza wa muungano wetu na ustawi wetu.
Hilo la ukabila tanzania halipo limebakia utani tuu...
Kenyans and rwandese should just focus on parching up their wounds which have been inflicted by severe tribal politics and religious differences and let tanzanians worry about their tomorrow.
Mkuu husitudanganye hicho si Kingereza cha Moi - Raia wa Kenya uzungumza a very refined English,wewe ulichofanya ni kutuletea Kingereza cha kuhunga hunga cha baadhi ya wabongo.