Mohammad Ali yu mahututi

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,560
Ni wa leo wa kesho, yu katika hali ya kutisha! Alzheimer na Parkinson's desease vimekutana na uhai wake ni majaaliwa ya Maulana.
 
Ni wa leo wa kesho, yu katika hali ya kutisha! Alzheimer na Parkinson's desease vimekutana na uhai wake ni majaaliwa ya Maulana.

Mungu amnusuru!

Amina!!!
 
Yale masumbwi sio salama kabisa.
Mungu ampe nguvu apone shujaa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…