Mohamed Aboutrika Amewataka Wachezaji wa Kiislamu Ligi kuu ya England kususia kampeni ya Rainbow

Ila kuna mambo mengine ni ya kijinga sana.
Me ninavyo jua, siku kuu ya Waislam inasheherekewa na Waislam wenyewe, na ya kikristo pia, itasheherekewa na wenyewe wakristo.
Sasa inakuaje sikukuu ya mashoga ikasheherekewa na wana Soccer?
 
Yuko sahihi kwa namna moja au ingine, ila warabu wanafki sana, wanajifanyaga kupinga vitu kibao ila mwisho wa siku wao ndio watendaji wakuu ispokuwa tu wao hawajitangazi, jamaa ndo wanaongoza kwa kutuharibia watoto wa jinsia zote mbili,

inafkia hatua ukiona tu mwarabu anatoka kimapenzi na mdada wa kitanzania Kila mtu anaanza kuhisi basi mtadao pendwa unatumika, ukiona tu anamazoea na vijana wetu walamba lips unaanza kupata mashaka juu ya urijali wake, ila sasa wao ndo wako mstari wa mbele kuwaigizia wengine wao ni wema Sana kumbe wengi wao ni hovyo tu
 
Hii inaitwa Arabs to win both halves
 
Mtueleweshe ndo nn maana yake?
 
Angewashauri wasuse ligi zao warudi Africa, maana pesa zao ni haramu.
 
Hata wakisusa yatatokea tu ukwel usemwe. Sasa ivi tuko nyakati za mwisho so Haya lazima yatokee na mengi mabaya yanakuja kwa kasi kubwa sana
 

acha maisha ya kukariri ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…