mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Wakuu habari zenu mwenye kufahamu kuhusu interview za mogasoil huwa zina kuwaje na maswali gani huwa wana uliza naomba anijuze.
Umepata kuitwa kwa interview?Wakuu habar zenu...mwenye kufahamu kuhusu interview za mogasoil huwa zina kuwaje na maswali gani huwa wana uliza naomba anijuze.
Pole mkuuniliomba na sijaitwa
Uliapply ile internship walitamgaza.?Wakuu habari zenu mwenye kufahamu kuhusu interview za mogasoil huwa zina kuwaje na maswali gani huwa wana uliza naomba anijuze.
Ndio...ili kuwa taitUliapply ile internship walitamgaza.?