Nimesubiri kwenye website yao Utumishi bila mafanikio.Wadau naombeni kuuliza, Hizi scholarship zimeshatangazwa na Utumishi kama wanavyofanya miaka yote>????
mkuuu uliomba chuo gani hawajakutumia mailWadau naombeni kuuliza, Hizi scholarship zimeshatangazwa na Utumishi kama wanavyofanya miaka yote>????