Dukani inauzwa 280000. Wewe unauza 290000. Kila la kheri mkuu.Nauza tv aina ya Moelecro kwa 290, 000/=tu, nipo kigamboni dar whatssap au piga 0655547822, haina tatizo lolote used 6 months, nimekwa thats why naiuza
Ukweli TV zimeshuka sana, hasa hiz zisizo na majina mpk 250000/= 32". Nimeshangaa juzi hisense inauzwa 270000/= 32"Watajie wadau hilo duka waende
Ukweli TV zimeshuka sana, hasa hiz zisizo na majina mpk 250000/= 32". Nimeshangaa juzi hisense inauzwa 270000/= 32"
Dumelang