MoDs ngoja niwalipue!

Bishanga umechoka kukaa uraiani
Ngoja waamke maana nafikiri muda huu wamelala
Afu huyo Erickb52 kaukwaa umod lini au ni umod wa kuruka na wake za watu maana sijawahi msikia

Alimhonga mihela maxence akampa u modi wa chichat,ngoja nikawasemee takakuru.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh? Mi kanitaja bila uoga sababu yeye ndie mwalimu wangu hivo anajua hata nikiwa na hasira siwezi mdhuru kiivo, hajanipa lesson ya kumdhuru yeye mwalimu wangu.

Tuition inaendelea,kesho tutakuwa mangapwani,pemba uwahi maana tutachukua somo la kuwashusha mshipa wabaya wetu.
 
Last edited by a moderator:

na Bishanga ni Maxence Melo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…