Habari wakuu
Ebana nimeshusha hiyo game hapo na inafanya kazi kama kawaida, ila sasa nataka kuweka mods za Buses ndio mtihani unakuja hapo.
Kuna video nimecheki jamaa anasema nikishazishusha hizo mods naenda kwenye mods manager kisha namaliza kazi... but hiyo mods manager kwenye hii version yangu siioni. Msaada plz.