shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,509
- 2,997
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kabisa nipo sirias kabisaUpo serious mkuu?
Aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kabisa nipo sirias kabisa
mwache roho yake isuuzike 🤣Upo serious mkuu?
Tabia za kiuchawi uchawi tu.Habari za muda wadau .
Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban .
Nakweli baada ya simba kushinda kuna watu walinifukunyua nikapigwa ban ta wiki nilipitia ugumu na sikuwa na namna .
Leo mtu wa kuitwa laban og kaomba mwenyewe kwa ridhaa yake apigwe ban lakini mpaka muda huu anadunda tu .
Ninaomba kama itawapendeza apigwe ban na roho yangu itasuuzika.
Asante.
Hahaha kwahiyo imekuuuma? kwani ulitumwa kuomba upigwe ban? mimi nikafikiri unawashukuru Mods kwa kusikia ombi lako na kulitekeleza?Habari za muda wadau .
Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban .
Nakweli baada ya simba kushinda kuna watu walinifukunyua nikapigwa ban ta wiki nilipitia ugumu na sikuwa na namna .
Leo mtu wa kuitwa laban og kaomba mwenyewe kwa ridhaa yake apigwe ban lakini mpaka muda huu anadunda tu .
Ninaomba kama itawapendeza apigwe ban na roho yangu itasuuzika.
Asante.
Namimi nataka ombi la laban ogHahaha kwahiyo imekuuuma? kwani ulitumwa kuomba upigwe ban? mimi nikafikiri unawashukuru Mods kwa kusikia ombi lako na kulitekeleza?
Nawewe ndio walewaleMechi haijaishi Bado Kwa Madiba
Hii ni first leg,
Mshindi anapatikana Kwa matokeo ya jumla Kwa michezo miwili
Tungoje mchezo wa pili
Sasa Simba kashinda au anaongozaNamimi nataka ombi la laban og
Nawewe ndio walewale
Sasa Simba kashinda au anaongoza
Akibamizwa goli 5 atakuwa ameshinda Nini sasa kwa
Mimi ni uto og niliomba makolo wanivalishe jezi yao kama simba mdebwedo ikifuzu nusu fainali basi nikasahau mishe nyingi huku Buza Mpalanger maskani , Hamad, kuna kolo kumbe aliniweka akilini ilimuuma sana akafukunyua comment yangu hiyo ya zamani na kuireply kwa kudai mimi ni utopolo na sina hadhi ya kuvaa jezi ya mnyama hata kama niliomba😜Mods nyuzi za watu kuomba ban ziwe zinaunganishwa ili wote wakutane kwenye uzi mmoja kisha watajua wenyewe km watapigana ban huko au watajiona machizi..!!