Katika karne hizi za Hotspot wifi na bluetooth Tethering watu mnahangaika na modems? Pigeni hatua ki technology
Wakuu natumain mko poa
Nilinunua moderm siku zilizopita kwenye maduka ya Tigo lakin nikawa nataka itumie lain zote kwa bahati mbaya wakati naflash ikagoma na kufa kabisa yani ikichomeka kwenye port ya pc haisomi kabisa sijui kama kama naweza kurusha hata ikatumia lain moja.Moderm ni zile za tigo Huawei E303 za mwaka huu na iliharibika baada ya kutumia Update ya E 303 ikagoma na haisomi lain kabisa wala kwenye port haisomi
Vipi mkuu na wew ulipata Soln yake Heri lee
Katika karne hizi za Hotspot wifi na bluetooth Tethering watu mnahangaika na modems? Pigeni hatua ki technology
Pole sana nko!!
mwaka jana niliua moderm kwa mtindo huo wa kuweka firmware ambayo iligoma kuingia mazima na modem ikawa haisomi port kama hiyo yako, hakuna soln niliyopata humu JF so itupie tu mvunguni na ujipange kununua mupya
Poa mkuu shukrani sana ngoja nitupe tu 25 yangu hakuna jinsi
Poa mkuu shukrani sana ngoja nitupe tu 25 yangu hakuna jinsi