Modems za airtel kimeo, wanatuibia

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Kampuni ya simu ya Airtel wanaibia wateja wao kupitia modem zao, wameshanijeruhi zaidi ya mara tano. Wanaiba kupitia bundle unazonunua, mfano leo unanunua bundle unatumia kwa siku 9 siku ya pili ukinunua bundle size hiyohiyo unatumia kwa dakika 40 inakwisha bila ku-download chochote. Ukipiga kuwauliza unapewa majibu ya kiubabaishaji yasiyokidhi na mbaya zaidi kila upigapo namba 100 ambayo ni ya customer care unakatwa shs 54. kwa kuwa unalazimika kupiga mara kibao bila ufumbuzi kupatikana wao wana gain through the tsh 54 for every cal you make, huu siyo wizi jamani? NAWASILISHA.
 
Hao jamaa mi nilishaachana nao kitambo hawafai ni full ubabaishaji. Achana nao mkuu!
 
Back
Top Bottom