kwa modem za kawaida hiyo ndo latest technology3G plus ni sawa na 4G?
Haishuki hiyo mkuu ndo bei ya mwisho labda kama unataka tank na kuendeleaBei haishuki? Mimi nataka hiyo modern
vyuma chakavu mkuu, 20 basiHaishuki hiyo mkuu ndo bei ya mwisho labda kama unataka tank na kuendelea
Pesa naipenda mkuu lakini hiyo haishukidaaah mkuu mi 20 nakupa bila wasi wasi
Bahati haikuwa yangu lakini karibu kwa wakati mwingineBei yako nzuri sana nimenunua jana Kariakoo ungetangaza jana ningenunua yako
Karibu tena mkuu naamini niwewe uliyechukua mzigo..kama in hivyo wape feedback wakuuvyuma chakavu mkuu, 20 basi
Nipo karibu na mataa ya makutano ya Uhuru na msimbazi hapa palipokuwa na round about zamani...karibuUpo karibu na wapi hapo msimbazi jtatu nipite
Wa Mwanza tunazipataje?Jipatie modem za kisasa zenye uwezo was 3Gplus kurusha wireless na USB cable kwa wale wasiotaka kuconnect modem direct kwenye PC..
Modem hizi ni universal na unatumia laini (SIM card)yoyote unayotaka...
View attachment 646267 View attachment 646268 View attachment 646269
Tupo kariakoo mtaa wa aggrey na msimbazi
Au piga 0752367766
Karibu sana
Nipe muda nalifanyia kazi swali lako ntakujibu...Inaweza kugawa wifi kwa devices ngapi
Jumla unauza? If yes,how much does it cost per piece?Jipatie modem za kisasa zenye uwezo was 3Gplus kurusha wireless na USB cable kwa wale wasiotaka kuconnect modem direct kwenye PC..
Modem hizi ni universal na unatumia laini (SIM card)yoyote unayotaka...
View attachment 646267 View attachment 646268 View attachment 646269
Tupo kariakoo mtaa wa aggrey na msimbazi
Au piga 0752367766
Karibu sana
JumlaJumla unauza? If yes,how much does it cost per piece?
Mh kwa Mwanza bado sina wakala...Wa Mwanza tunazipataje?