Modem huawei e1550 ndani ukifungua software yake inasoma vodacom lakini hapo haina laini, nje imechapwa logo ya zain ukiweka tigo inakataa sasa modem hii ni voda au zain imeunlockiwa au la?

Kinachotokea ni kwamba kuna software ya huawei ambayo ipo katika compyuta yako ambayo ulikua unatumia modem ya voda kipindi cha nyuma ndiyo inayo autorun pindi unapoweka modem hiyo ya huawei ya zain sababu ni kampuni moja ya huawei ndo ilitengeneza hizo modem so kuna muingiliano wa software.
Hiyo software tunaiita dashboard unaweza kuitumia hiyo hiyo software na ika connect endapo kama kwenye modem yako umeweka sim card inayotakiwa sababu modem yako haijafunguliwa na sim card yenyewe ni Airtel.