MOD Unaweza Hii??

push up 2 tu mi hoi itakuwa kusimamia vidole?
 
Hapa kwenye hili jukwaa kuna watu wa ajabu kabisa. Ndallo, Mbuzi mzee na Mzizi mkavu. Hizi picha mnazipata wapi?. Maana kila mnayo itoa inamaliza kufikri kwetu.
 
Kama ni kipaji, naomba niepushiwe!
 
Aiseeee babaangu mbuzi mzeee ndio ananiacha hoi kwenye ili jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…