Mobile traker

Mpige chini kimyakimya ila akitaka kujua muambie wewe endelea na uliye naye then kila siku uwe unamtumia msg moja za maddu yake uliyoyadukuwa na kumwambia atulie tuliii usije ukayatupa kwenye mitandao ya jamii kama wassup akose hata mume wa kumwoa akimaliza chuo.
 
Leo ni kati ya siku ambayo nimefrahi sana pengine kuliko siku zote

Nilihisi japo sijawa na uhakika,nilikua namwambia Mara kwa Mara alikua akibisha tena kwa ugomvi mkubwa tu tena Mara nyingine hatuongei week nzima

Ila Leo ukweli umejishihirisha tena kwa ushahidi wa kutosha kabisa aksante sana alieleta Uzi wa mobile tracker japo sijajua bado kama ilikua jukwaa hili au lingine

Kifupi ni kwamba Mimi na mchepuko kwangu tunaishi mbali mbali kidogo kama kilometa moja ivi,

Kila nikitoka kwake narudi nyumbani mwenzangu anaingiza kijamaa tena ninaye mfaahamu sasa majuzi niliona andiko LA mobile traker nikajalibu kulifatilia hatimaye nikafanikiwa kuingiza hii program kwenye sim yake

Asubuhi naifungua kummonitor nakutana na mapicha wamepiga huku wanaduu aisee,nimekuta SMS kibao zinazonitukana eti Mimi boya aisee,jamaa kapiga hadi 0713 daa mungu wangu sijawai hataaa

Mwanamke ambaye namuudumia hadi elimu yake naifinance Mimi Leo hii ndo yamekua haya aisee,

Kweli bola ufuge mbwa,

[HASHTAG]#1Note[/HASHTAG],
kama nilivyoeleza hapo juu naomba mnishauri nimwambie na kumuonesha mapicha yake ndo nimwache au nimwache kimya kimya,

[HASHTAG]#note[/HASHTAG] 2
Admin naomba usiulink huu Uzi tafadhari sana

Naliwe wa lumumba
Yah mi ndio nilitoa ile link..Hongera kwa kumkamata mpenzi msaliti huyo!
Kama ushahidi tayari upo mezani muwekee wazi tu au piga chini kimya kimya! Usimbwatukie we mshukuru tu kwa kukufanya mjinga muda wote!!!
 
Mkuu naomba kujua jinsi ya kuipata hiyo application ya mobile tracker.
 
Yah mi ndio nilitoa ile link..Hongera kwa kumkamata mpenzi msaliti huyo!
Kama ushahidi tayari upo mezani muwekee wazi tu au piga chini kimya kimya! Usimbwatukie we mshukuru tu kwa kukufanya mjinga muda wote!!!
Ah Extrovert mtalaam iyo app ni ipi iyo maana na mie nina mchepuko wangu siuelewi elewi ..
 
Back
Top Bottom