Licence yake inaanzia $ 1Million
. Kuna majamaa South Africa walifake Documents (zinauzwa kwa watu maalum na kuna docs unatakiwa uwe nazo wakati una order)Wakachanga wakainunua Kazi ilikuwa kuhack simu za Wabunge, Mawaziri na Ma CEO wa Makampuni wakawa wana wa black main wanapewa Tenders nzito nzito wanapiga mahela . Mawaziri na wausika wengine wakajipanga wakaagiza mtambo wa tracking Wakawakamata