Licence yake inaanzia $ 1Million😁. Kuna majamaa South Africa walifake Documents (zinauzwa kwa watu maalum na kuna docs unatakiwa uwe nazo wakati una order)Wakachanga wakainunua Kazi ilikuwa kuhack simu za Wabunge, Mawaziri na Ma CEO wa Makampuni .wakawa wana wa black mail kisha wanawalazimisha wanapewa Tenders nzito nzito wakawa wanapiga mahela . Mawaziri na wausika wengine wakajipanga wakaagiza mtambo wa tracking Wakawakamata.🤣software ni PEGASUS, tafute mkuu
Akili juu ya akili.Licence yake inaanzia $ 1Million. Kuna majamaa South Africa walifake Documents (zinauzwa kwa watu maalum na kuna docs unatakiwa uwe nazo wakati una order)Wakachanga wakainunua Kazi ilikuwa kuhack simu za Wabunge, Mawaziri na Ma CEO wa Makampuni wakawa wana wa black main wanapewa Tenders nzito nzito wanapiga mahela . Mawaziri na wausika wengine wakajipanga wakaagiza mtambo wa tracking Wakawakamata
😂😂😂 Acha Kumtisha Kikubwa Muda na nia mkuu! Akuna kinachoshindikana chini ya jua hii professional ni kama Uchawi Unaloga Mwanga asiingie Geto, Na yeye Mwanga anatengeneza Scud kali anaingia , na wewe unaenda tafuta kali zaidi asiingie na Yeye Mwanga tena unaenda ongeza jingine😂kwenye ulimwengu wa IT ni hivyo hivyoUwezekano upo ila ni elimu ya miaka kumi.(10 years in class)
Achana nae kama utaweza, unaweza ku-hack ukakuta mambo makubwa kuliko umri wako na uwezo wa kumuacha huna.naomba kujua app au software ambayo inauwezo wa hack simu(calls & messages) bila kuwa nayo physically.
Acheni UongoUwezekano upo ila ni elimu ya miaka kumi.(10 years in class)
Licence yake inaanzia $ 1Million. Kuna majamaa South Africa walifake Documents (zinauzwa kwa watu maalum na kuna docs unatakiwa uwe nazo wakati una order)Wakachanga wakainunua Kazi ilikuwa kuhack simu za Wabunge, Mawaziri na Ma CEO wa Makampuni .wakawa wana wa black mail kisha wanawalazimisha wanapewa Tenders nzito nzito wakawa wanapiga mahela . Mawaziri na wausika wengine wakajipanga wakaagiza mtambo wa tracking Wakawakamata.
![]()



kuna mtu anaenda kupigwa soon hapaHadi sasa na napata whasapp chat zake kwenye pic yangu kiulainiii, hata akizidelete kwake
uaminifu umekuwa tatizo siku hizinaomba kujua app au software ambayo inauwezo wa hack simu(calls & messages) bila kuwa nayo physically.
Uongo ni upi aliyesema haiwezekani au Mimi ninaemaanisha inawezekana japo huchukua mudaAcheni Uongo