Bro... umeideveop mwenyewe...??

Good work... Tutawasiliana..

Tuoneshe bac kaka!Nipe japo mwanga mpaka ukaimaliza kaka,if you dont mind!!language gani umetumia!!!

Got u kaka, bt nikiweka link still bado utatakiwa nikucreatie acc yenye password na user name ili uweze kui2mia.acha download link hapo 2pakue sie! C unaacha namba ya cm huku c mahala pake!

Ozeking bro!Umetumia gateway gani?

@mputi why dont u make it easy for us mkuu...ondoa hzo restriction..
@mputi why dont u make it easy for us mkuu...ondoa hzo restriction..

Brothers, What i mean here is a biznez, waweza tafuta Company or any Organization ambayo inahitaj application kama hii then unapata hela kutoka kwenye kila sms watakayo nunua, siyo ishu ndogo, we did the same thing kwa TUWASA (Mamlaka ya Maji TANGA)Guys nina mobile application ambayo inaweza kutuma sms kwa group of people. mf inaweza kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 1000 af kila mtu akadeliver kwa specification tofauti mfano Hello Gerald ....; Helow Juma.... Inaweza kutumika na watu au kampuni tofauti, mf kama mamlaka ya maji kuwaremind wateja kulipa bili,kuwakumbusha madeni yao nk, au katika mashule kutuma matokeo ya wanafunzi kwa wazazi through their mobile phones, kwa ufupi inatumika kufikisha ujumbe wowote kwa watu wengi,ni software ambayo unainstall ktk computer. Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kupitia 0717767360, au gedmputi1987@yahoo.com