Android au ios?Nahitaji mtaalamu wa kunitengenezea mobile application!
Whatsapp +255719033180
Stefano MtangooNahitaji mtaalamu wa kunitengenezea mobile application!
Whatsapp +255719033180
Ahsant kwa kuniita boss. Ila kazi nyingi za JF nina experince mbaya nazo. Huwa hawako serious na mostly ni time waste. So huwa nazi skip nowdays.