Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,152
- 7,423
Kuna wengine wanipata pata kweli kweli, lkn wengine wanaigiza tu weizi, na lile tusi la kizungu litatupiwa juu Eti Ouh! wat wat and wat, wakati yey mbongo wew utasema today was perfect, kumbe dah! bora hata ya siku anayokaa kimya
Seriously Kuna wanaume wanatoa ukunga mpaka unaogopa
Toeni vi-experience vyenu tuone
Seriously Kuna wanaume wanatoa ukunga mpaka unaogopa
Seriously Kuna wanaume wanatoa ukunga mpaka unaogopa