MOAB- Mama wa Mabomu yote Duniani

monomotapa

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
437
Reaction score
327
Mama wa mabomu yote duniani (Bomu ambalo halina mahusiano na nuklia) - Massive Ordinance Air Blast bomb AKA Mother Of All Bombs (MOAB) lenye uzito wa kilogram 10,300, (22,600lb) na ujazo wa tani 11 za milipuko (TNT) lililotengenezwa mwaka 2003 huko Marekani limetumiwa hivi karibuni na kikosi maalum cha wanajeshi wa anga wa Marekani" Special Royal Air Force" huko Aghanistan na kuwaua magaidi zaidi 92 wa kundi la ISIS, Shuhuda wa Kiafghanistan alielezea kuwa mlipuko wa MOAB ilikuwa kama mbingu zinaangukia dunia...(I felt like heavens were falling) Msemaji wa serikali ya Marekani akielezea CNN anasema MOAB imeonyesha mafanikio makubwa kwa kuwa na kiwango cha juu cha shabaha (Precision) na kutimiza lengo lililo tarajiwa (Target) mashambulizi ya jeshi la marekani Syria na Afghanistan na kuelekeza manowari zake kwenye ukanda wa ghuba ya Korea ni ujumbe tosha kuwa Marekani imerudi kwenye nafasi yake tena duniani " US is back again"
 
RS-28 SARMAT

Hili sijui niliite PEPO ILIYO DUNIANI maana mziki wake NATO wakaliita

SHETANI 2

wakimaanisha shetani anayeonekana humu duniani.

usishangilie kuona mwenzako kamwagiwa maji ya moto. subiri naye amwagiye uji wa volkano
 
Hivi hawa wamarekani ni bimadamu wenzetu au ni viumbe walioumbwa kuja kuangamiza binadamu? Waliteketeza Hiloshima na nagasaki na hawajawahi kujutia , sasa wametengeneza MOAB na kuisifia wakati ni weapon of mass distruction, na dunia nzima imekaa kimya
 
Tulia hujuw Wewe ni kuni Apo Bado kutumika tu
 
RS-28 SARMAT

Hili sijui niliite PEPO ILIYO DUNIANI maana mziki wake NATO wakaliita

SHETANI 2

wakimaanisha shetani anayeonekana humu duniani.

usishangilie kuona mwenzako kamwagiwa maji ya moto. subiri naye amwagiye uji wa volkano
 
RS-28 SARMAT

Hili sijui niliite PEPO ILIYO DUNIANI maana mziki wake NATO wakaliita

SHETANI 2

wakimaanisha shetani anayeonekana humu duniani.

usishangilie kuona mwenzako kamwagiwa maji ya moto. subiri naye amwagiye uji wa volkano
Unamaanisha FOAB-Baba wa mabomu yote?
 
natamani yawalipukie wao wenyewe yaani itokee faults yeyote MOAB ilipuke kwenye ardhi yao
 
natamani yawalipukie wao wenyewe yaani itokee faults yeyote MOAB ilipuke kwenye ardhi yao
Well, but siyo rahisi because hayana fuse bali hulipuka kwa mgongano linapofika ardhini
 
kama kombora, mwe! kiswahili hakina maneno murua kutaja haya makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…