Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,982
- 134,115
Shabiki maandaziHivi Ligi ya Tpl huwa kuna tuzo?
Shabiki maandazi
Acha wivu wewe Chura na nyinyi anzisheni za kwenu.Na refa bora asikosekane
Maana ndio mchezaji wenu hatari zaidi
Kwani kuna ubaya mkiwatunuku marefa na washika vibendera enyi mikia? Au kwakua washakamilisha kazi yao mnawatupaAcha wivu wewe Chura na nyinyi anzisheni za kwenu.
hela ya kula tu wanapitisha bakuli sasa watapata wapi hela za kuandaa tuzo?Acha wivu wewe Chura na nyinyi anzisheni za kwenu.