Mo Scholarships 2022 (Mo Foundation)

Sidhani kama majina yatakuwa yametoka, maana wamefunga dirisha juzi tu
 
ila kama wangekua na kautaratibu kakutoa update ingekua njema japo kuwaliwaza wanafunzi
Subirini jamani mtapigiwa simu au mtatumiwa notifications kupitia email zenu
 
Hapo mwishoni ulipomalizia "Next time unashauri bilionea asibague vyuo kwani wote wana uhitaji"..The issue, Ni kwamba msaada si haki wala si lazima.atatoa kulingana na matakwa yake.
 
Hamna mtu aliekataa,
Ila msaada nao haubagui unatoka kwa yeyote mwenye uhitaji,
Ni kama ushauri na wala sio kesi
 
Mi nafiikiri kuna makubaliano yapo kati yake Bilionea na vyuo husika kwani happy miaka ya nyuma alikua akitoa kwa udsm na sua pekee
 
ila nimeona sehem kwamba wale wa suza Zanzibar pia wanaweza kuapply hyo kitu
 
Mi nafiikiri kuna makubaliano yapo kati yake Bilionea na vyuo husika kwani happy miaka ya nyuma alikua akitoa kwa udsm na sua pekee
Hamna kitu mzeeh!! sas scholarship ya mwanafunzi inahusika vipi na chuo!! Hiyo ni ishu ya mfadhili na mwanafunzi, chuo wanataka ada tu, hayo mengine mtajua wenyewe!!
Sasa mbona mwaka jana Ifm, DIT,DMI na vingine vilikuwepo na mwaka huu havipo!!??
 
Bhas Boss anaji balance mwenyew kulingana na goals zake maana hata sadaka. Unaambiwa toa kile kilichozidi baada ya matumizi yako na kwa kutambua hilo ameona abadili vyuo kwa kila mwaka wa masomo
 
Nadhani hawatoi majina
Nilituma maombi, wamenipigia simu leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…