martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
tar 22 mpk 29 mwezi ganiHabari wakuu
Mo scholarships hii ni fursa ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Mo Dewji kupitia taasisi ya Mo Foundation, ufadhili huu ni kwa ajili ya malipo ya ada, malipo ya awali ya chuoni pamoja na pesa ya chakula na malazi kwa wanafunzi.
Pia ufadhili huu hutolewa kwa wanafunzi wa ngazi ya masomo ya shahada mwaka wa kwanza (fresh students)na pia hutolewa kwa wanafunzi wa vyuo vya UDSM, NIT, SUZA na UDOM.
Dirisha la maombi litafunguliwa kesho tar 22 mpaka tar 29 mwezi huu.
Wanafunzi wenye uhitaji wa ufadhili huu wa kimasomo ni nafasi yao kuchangamkia fursa hii,
Ila nashauri next time tunaomba bilionea huyo asibague vyuo kwani wanafunzi wa vyuo vyote wanauhitaji.
Link ya nini ww,Mleta uzi au mdau yeyote aweke link watu wakajisajili.
Link ili watu waende Moja kwa Moja kufanya application mimi nimeingia kwenye website yao nimekuta hivi.Link ya nini ww,
Maombi yanatumwa via email mzeeh na sio kwa hizo njia,Link ili watu waende Moja kwa Moja kufanya application mimi nimeingia kwenye website yao nimekuta hivi.View attachment 2396931
OkMaombi yanatumwa via email mzeeh na sio kwa hizo njia,
Je mtu kama kapata mkopo Helsb hautoshi si anaweza kuaplly ? halafu mbona ana mambo mengi hiyo kwenye mfano hapo checklist no 6
Apply hata kama na heslb umeapplyJe mtu kama kapata mkopo Helsb hautoshi si anaweza kuaplly ? halafu mbona ana mambo mengi hiyo kwenye mfano hapo checklist no 6
😂😂Sisi wa TEKU tumetengwa
Ni vyuo vinne tu[emoji23][emoji23]
Huku kwa bwana Mo nako kunani aty wajameniHabari wakuu
Mo scholarships hii ni fursa ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Mo Dewji kupitia taasisi ya Mo Foundation, ufadhili huu ni kwa ajili ya malipo ya ada, malipo ya awali ya chuoni pamoja na pesa ya chakula na malazi kwa wanafunzi.
Pia ufadhili huu hutolewa kwa wanafunzi wa ngazi ya masomo ya shahada mwaka wa kwanza (fresh students)na pia hutolewa kwa wanafunzi wa vyuo vya UDSM, NIT, SUZA na UDOM.
Dirisha la maombi litafunguliwa kesho tar 22 mpaka tar 29 mwezi huu.
Wanafunzi wenye uhitaji wa ufadhili huu wa kimasomo ni nafasi yao kuchangamkia fursa hii,
Ila nashauri next time tunaomba bilionea huyo asibague vyuo kwani wanafunzi wa vyuo vyote wanauhitaji.
Kuhusu majina auHuku kwa bwana Mo nako kunani aty wajameni