Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 244
- 473
Sasa nitawelaje hiyo elfu kumi kwenye timu ilihali mfumo ni mbovu, kwa nini hisa zisiuzwe kwa wanachama ili mwenye nayo anunue?Bora ukae kimya we mbumbumbu Ushawai saidia TIMU hata elfu 10 ???
Sasa ebu fikiria kama tumefika hapo na tuna uongozi mbovu, je kama tungekiwa na mifumo mizuri kama wao, si tunge tawala soka la afrikaTimu imeingia robo fainali mara tano ndani ya miaka sita. Pyramids na uwekezaji wao wameshindwa.
Sidhani kama shida ni MO, Nadhani ni nmna usajili wa simba ulivyo na mgao wa madaraka kwa mujibu wa katiba na miongozo ya simba. Kuna ngazi nyingi za maamuzi yanayotoa mianya mingi kuidhibiti timu. Hata ungekuwa MO, kwa usajili wa Simba ulivyo autonomy ya timu ndogo kwa MO. Watu wanatumia mianya hiyo kula hela. Tofauyi sana na Yanga Muundo wake umenyoka.Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.
Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili
1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji
Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.
Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.
Nawasilisha
Je tumepata uwekezaji bora?Miaka ile ya mabadiliko msisistizo wetu mkubwa ulikuwa.
1. Uwekezaji bora
2. Uongozi bora.
3. Wachezaji Bora.
Hao watu wamewekwa na nani?Simba inachohitaji ni uongozi bora na kuwa ondosha kabisa hawa wana siasa akina Mangungu na Try again na wapuuzi wengine waliojazana mle ndani, Mo akiachia timu utaweza kuiendesha? au una wawekezaji wakuchukua nafasi ya Mo? kama hauna endelea kula ugali utulie
Umeandika kitu ambacho hauna uelewa nacho, hujui undani wa hili sakata, fatilia vyanzo mbalimbali usome na uelewe,Sasa nitawelaje hiyo elfu kumi kwenye timu ilihali mfumo ni mbovu, kwa nini hisa zisiuzwe kwa wanachama ili mwenye nayo anunue?
Kwa nini auziwe muwekezaji mmoja?
Hapana walikuwepo akina manji na nkKuna timu zimewekeza mahela mengi kushinda simba lakn hazina hata uwezo wa kufika robo fainali.... kikubwa hapa ni kukaa chini na kuangalia tatizo liko wapi na turekebishe.... mo huyu unae msema ndie aliyeleta chachu ya mabadiliko ya soka hapa TZ mpaka unavyoona simba na Yanga wamefika hapo walipo ni Ujasiri wa MO wa kuibadilisha Simba na iwe timu yenye ushindani. ko tupunguze zihaka kwa MO... tujaribu kuheshimu pia alichokifanya kwa soka la Tanzania
Wewe ndio huelewi.. ebu nipe structure ya uwekezaji wa mo simba ilivyoUmeandika kitu ambacho hauna uelewa nacho, hujui undani wa hili sakata, fatilia vyanzo mbalimbali usome na uelewe,
Kiufupi umekurupuka kwa mihemko, au itakua umesikia sehemu ukaamka nalo juu juu bila uelewa.
Mo hajainunua simba, ni ivi mo anamiliki 49% na simba 51%Simba ni Timu ya Mo, juz tu apa aliulizwa kitu gani aliwah nunua bei ghali akasema Simba na aliinunua miaka mitano ilopita, ukisema aondoke ataondoka na timu yake mzee. Mkuu unamfukuzaje owner ? . The Glazer family Owns man united kama majority shareholder huku Jim akiwa significant minority shareholder sasa Man u fans hawaitaki hiyo famili ya Glazer ila hawana la kufanya..
Sasa kama huelewi uwekezaji wa Mo upoje ndani ya Simba, huna uhalali wa kuhoji uelewa wako kuhusu hili ni mdogo,Ndo maana nikasema hujui lolote umekurupuka,Wewe ndio huelewi.. ebu nipe structure ya uwekezaji wa mo simba ilivyo
Hamna wanaofanya maamuzi ni watu waliowekwa na yeyeSidhani kama shida ni MO, Nadhani ni nmna usajili wa simba ulivyo na mgao wa madaraka kwa mujibu wa katiba na miongozo ya simba. Kuna ngazi nyingi za maamuzi yanayotoa mianya mingi kuidhibiti timu. Hata ungekuwa MO, kwa usajili wa Simba ulivyo autonomy ya timu ndogo kwa MO. Watu wanatumia mianya hiyo kula hela. Tofauyi sana na Yanga Muundo wake umenyoka.