Mo kununua timu FDL

Na wakikutana kwenye FA? Au kichwa hakijawaza hayo? Au wataikataza isishiriki?
 
SASA WATU NDIO WAELEWE KUWA MO anatamani sana AIMILIKI SIMBA.. ANATAKA KUTUMIA JINA LA SIMBA SPORTS CLUB ili kupiga mishe zake kibiashara..
Uzuri wa mashabiki tunapenda kuona mafanikio sio bakuli
 
Itakuwa kama barcelona wana barcelona B. Iko segunda division
 
Mashauri tuinunue Yanga ili tuwanusuru na ukata ulowakumba
 
Waliuzaje right kwa mwingine
 
Mo watu waliomzunguka vilaza..hiyo hela ya kununua timu angejenga academy ...akusanye Vijana robo tatu wabongo na robo kutoka Africa nzima..baada ya miaka miwili itaanza kumlipa...
Miaka miwili!? Are you serious?
 
Kweli pesa imefikia huko na mijusi fc inashangiliaaa kweliii i can't wait pale atakapo rudi kununua wake zenuu mtakavyokuwa mnashangilia kwa furaha lizard fc
 
Huu ndo mwanzo wa MO kuwa na timu yake kama BAKHRESA
 
Anataka kuipangia serikali cha kufanya, sijawahi sikia hiyo Duniani! !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…