Huyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu.
Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo ingeingia klabuni Simba SC kama mapato ya klabu iwe pesa ya uwekezaji kutoka kwake.
Ndani ya miaka 4 mapato ya kimkataba na matangazo na pesa kutoka kafu (hapo sijazungumzia mirija mingine) leo hii limetengenezwa picha ionekane inatoka mfukoni mwa Jamaa. Nilitaarifiwa kuwa tangu jamaa aingie pale yeye alijipa mamlaka ya kumiliki password ya Bank Account ya klabu, bado sikuweza kuamini.
Hivi leo nimeamini kuwa posho ya miaka 4 minne aliyokuwa akilipa mishahara na usajili wa klabu kwa kipindi chote hiko ndio thamani halisi ya hisa asilimia 49% za klabu ya Mikia FC.
Amkeni mambumbumbu!
Sisi kama mashabiki tunachokitaka ni timu kushinda makombe ambayo yapo, wachezaji kulipwa mishahara ambapo hatujasikia hata mmoja akidai, timu kufanya vizuri kimataifa ambapo hakuna asiejua juu ya hili, hizo porojo nyingine tumewaachieni nyie uto, eti mnaibiwa na mo,, we usiebiwa pale utopoloni tuambie kwa mwezi unapokea sh ngapi?
Ungetuliza mshono kwa majibu ya mashabikiHuyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu.
Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo ingeingia klabuni Simba SC kama mapato ya klabu iwe pesa ya uwekezaji kutoka kwake.
Ndani ya miaka 4 mapato ya kimkataba na matangazo na pesa kutoka kafu (hapo sijazungumzia mirija mingine) leo hii limetengenezwa picha ionekane inatoka mfukoni mwa Jamaa. Nilitaarifiwa kuwa tangu jamaa aingie pale yeye alijipa mamlaka ya kumiliki password ya Bank Account ya klabu, bado sikuweza kuamini.
Hivi leo nimeamini kuwa posho ya miaka 4 minne aliyokuwa akilipa mishahara na usajili wa klabu kwa kipindi chote hiko ndio thamani halisi ya hisa asilimia 49% za klabu ya Mikia FC.
Amkeni mambumbumbu!
Ujengewe sanamuSisi kama mashabiki tunachokitaka ni timu kushinda makombe ambayo yapo, wachezaji kulipwa mishahara ambapo hatujasikia hata mmoja akidai, timu kufanya vizuri kimataifa ambapo hakuna asiejua juu ya hili, hizo porojo nyingine tumewaachieni nyie uto, eti mnaibiwa na mo,, we usiebiwa pale utopoloni tuambie kwa mwezi unapokea sh ngapi?
Fedha za kadi kwa mwaka zinacover mishahara ya mwaka ya wachezaji wawili tu, vipi kuhusu 28 wengine?Kwa kipindi chote alichotoa B21, klabu ya Simba imeingiza kiasi gani?
Zile fedha za kadi za mashabiki zilienda wapi?
Na hata katika Medani za Ujasiriamali kuwa Samjo Samjo ( Mjanja Mjanja ) ni Sifa 'tukuka' mojawapo ya Kujipatia Faida zaidi.Huyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu.
Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo ingeingia klabuni Simba SC kama mapato ya klabu iwe pesa ya uwekezaji kutoka kwake.
Ndani ya miaka 4 mapato ya kimkataba na matangazo na pesa kutoka kafu (hapo sijazungumzia mirija mingine) leo hii limetengenezwa picha ionekane inatoka mfukoni mwa Jamaa. Nilitaarifiwa kuwa tangu jamaa aingie pale yeye alijipa mamlaka ya kumiliki password ya Bank Account ya klabu, bado sikuweza kuamini.
Hivi leo nimeamini kuwa posho ya miaka 4 minne aliyokuwa akilipa mishahara na usajili wa klabu kwa kipindi chote hiko ndio thamani halisi ya hisa asilimia 49% za klabu ya Mikia FC.
Amkeni mambumbumbu!
Nyani wa Utopolo mumeandamishwa kwenda kupokea wachezaji vimeo na kumbeba msomali lakini mnashindwa kuhoji ahadi ya ubingwa kupotea hewani lakini mko bize kubana pua kuhoji mambo ya Simba huo ni uchoko.Huyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu.
Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo ingeingia klabuni Simba SC kama mapato ya klabu iwe pesa ya uwekezaji kutoka kwake.
Ndani ya miaka 4 mapato ya kimkataba na matangazo na pesa kutoka kafu (hapo sijazungumzia mirija mingine) leo hii limetengenezwa picha ionekane inatoka mfukoni mwa Jamaa. Nilitaarifiwa kuwa tangu jamaa aingie pale yeye alijipa mamlaka ya kumiliki password ya Bank Account ya klabu, bado sikuweza kuamini.
Hivi leo nimeamini kuwa posho ya miaka 4 minne aliyokuwa akilipa mishahara na usajili wa klabu kwa kipindi chote hiko ndio thamani halisi ya hisa asilimia 49% za klabu ya Mikia FC.
Amkeni mambumbumbu!
Thadeo Lwanga aliamua kuuzamisha ule mwiko kule nyuma ndani kabisa ili usionekane tena asilaniYanga chomoeni mwiko huko nyuma ..
Hahahah ..Thadeo Lwanga aliamua kuuzamisha ule mwiko kule nyuma ndani kabisa ili usionekane tena asilani
Excellent! Wao wasioibiwa wa nini cha maana? Wamepata vikombe vingapi hadi sasa? Wanadaiwa kiasi gani na wachezaji (Bakuli FC)Safi sana kwa jibu ulilompa hata yy akitaka aende pale awekeze aiibie club maana ukimuuliza katika club anayoishabikia hata kwa mwezi elfu moja anatoa?
Wanaomba leo kesho mo aondoke, walivyo wanafki wanajifanya kutengeneza vihoja vyao visivyo na mashiko mara ooh mo tapeli!! nk .. [emoji23][emoji23]View attachment 1875117
Mo mjanja sana kawafanha utopolo hawapumui kabisa kwa miaka 4
Wanaomba leo kesho mo aondoke, walivyo wanafki wanajifanya kutengeneza vihoja vyao visivyo na mashiko mara ooh mo tapeli!! nk .. [emoji23][emoji23]