babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,351
- 16,439
Kazaliwa huko na kikapu kaanza akiwa na miaka 6.Anapambana ili aweze Ishi
Yaani mimi kama shabiki wa Simba nakerwa sana na yule mpuuzi Kibu. Nilimuunga mkono Pape Ousmane Sakho alipo'fume' baada ya kufanyiwa sub kumpisha Kibu kwenye game ya Simba vs Coastal Union. Mimi ningekuwa Sakho ningemrushia kiatu kocha. Huyo Kibu alipoingia alifanya nini cha maana? Shwaini zake.Hashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Kwa nini umtaje Kibu Denis?Hashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Watu wanazungumzia kikapu wewe unaleta habari za kibu Denis Prosper una shida binafsi na yeye.Hashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Kibu Denis ni mpumbavuKwa nini umtaje Kibu Denis?
Kibu Denis ni mwehu lazima atajweWatu wanazungumzia kikapu wewe unaleta habari za kibu Denis Prosper una shida binafsi na yeye.
Wakongo NBA wapo wapo....Ukitizama College Basketball (CBB) kuna dogo mmoja anaitwa Oscar Tshiebwe ni Mkongo yupo Kentucky Wildcats.
He's going to be a star.
View attachment 2512534
Sio wapowapo Wacongo ni moja kati ya waafrica waliofanya poa NBA tangu enzi hizo za kina Dikembe Mutombo mzee wa Big Ballin na kina D Ilunga Mbenga na wengine kibao,kwa hapa Africa Hakeem Olajuwon wa Ghana ndio the greatest wetu ana rekodi nzuri sana NBAWakongo NBA wapo wapo....
Huyo Dikembe Mutombo katajwa sana katika nyimbo za Wenge BCBGSio wapowapo Wacongo ni moja kati ya waafrica waliofanya poa NBA tangu enzi hizo za kina Dikembe Mutombo mzee wa Big Ballin na kina D Ilunga Mbenga na wengine kibao,kwa hapa Africa Hakeem Olajuwon wa Ghana ndio the greatest wetu ana rekodi nzuri sana NBA
Wakongo NBA wapo wapo....
Umesoma kichwa cha habari? Kwani kumtaja ni dhambi? Nimefanya ufanano tu wa hao watu wawili! Hivyo huna sababu ya kupandwa na munkari.Kwa nini umtaje Kibu Denis?
Na uzuri na mimi nimezungumzia wanamichezo ambao jamii ilikuwa na matarajio makubwa kwao, na baadaye kushindwa kufikia hayo matarajio!Watu wanazungumzia kikapu wewe unaleta habari za kibu Denis Prosper una shida binafsi na yeye.