d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 918 Reaction score 516 Oct 23, 2018 #21 Sauda said: Narudi! Click to expand... Kabla unarudi njoo kwanza inboo nikushauri kitu
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Oct 23, 2018 #22 Daudi Mchambuzi said: Chai ya rangi bila kitafunywa. Click to expand... Labda walimuwekea kifaa cha kuzuia mimber propagandist wanatuambia ni microchip!!!!
Daudi Mchambuzi said: Chai ya rangi bila kitafunywa. Click to expand... Labda walimuwekea kifaa cha kuzuia mimber propagandist wanatuambia ni microchip!!!!
lossoJR JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,711 Reaction score 2,387 Oct 23, 2018 #23 Tutaona Mengi miaka Hii
jeipm JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 500 Reaction score 825 Oct 23, 2018 #24 Vyombo vyenyewe tena ya usalama vinadai hao watekaji ni watu wasiojulikana, hata kama akiwataja watamwambia hao watu wasiojulikana we umewajuaje!!!!!! Habari kwisha.
Vyombo vyenyewe tena ya usalama vinadai hao watekaji ni watu wasiojulikana, hata kama akiwataja watamwambia hao watu wasiojulikana we umewajuaje!!!!!! Habari kwisha.
naswabu Member Joined Jun 26, 2014 Posts 55 Reaction score 14 Oct 23, 2018 #25 No story behind under story
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 15,520 Reaction score 27,542 Oct 23, 2018 #26 bukoba boy said: Hakuna microchip ya hivyo acheni ufala Click to expand... Hawa waandishi wa Gazeti la Jamhuri wanatuona watu wote wajinga. Microchip iliyo kuwa implanted ndani ya ngozi inachukuaje picha? Microchip ya ndani ya ngozi inarekodi vipi sauti kama imefunikwa na ngozi? Hapo waseme wanaweza kurekodi path yote ya mtu aliepandikizwa hiyo kitu. Hiyo microchip gani inayopima magonjwa yote pia? Wangesama inapima sukari, joto na pressure ningekubali.
bukoba boy said: Hakuna microchip ya hivyo acheni ufala Click to expand... Hawa waandishi wa Gazeti la Jamhuri wanatuona watu wote wajinga. Microchip iliyo kuwa implanted ndani ya ngozi inachukuaje picha? Microchip ya ndani ya ngozi inarekodi vipi sauti kama imefunikwa na ngozi? Hapo waseme wanaweza kurekodi path yote ya mtu aliepandikizwa hiyo kitu. Hiyo microchip gani inayopima magonjwa yote pia? Wangesama inapima sukari, joto na pressure ningekubali.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 15,520 Reaction score 27,542 Oct 23, 2018 #27 Roman Israel Esq said: Inawezekan mkuu. Zipo hizo. Na sishangazwi kama Mo alikuwa nayo. Zina manufaa mengi kwa wenye uwezo. Click to expand... Microchip zipo lakini hazifanyi kazi kama walivyo ongeza chumvi Jamhuri. Hata ule mkwala wa kuongea na CIA ni fake news. Jamhuri wanatumia fursa kuuza nakala nyingi za toleo husika la gazeti.
Roman Israel Esq said: Inawezekan mkuu. Zipo hizo. Na sishangazwi kama Mo alikuwa nayo. Zina manufaa mengi kwa wenye uwezo. Click to expand... Microchip zipo lakini hazifanyi kazi kama walivyo ongeza chumvi Jamhuri. Hata ule mkwala wa kuongea na CIA ni fake news. Jamhuri wanatumia fursa kuuza nakala nyingi za toleo husika la gazeti.