Anataka ukifika muda wa mchakato tayari awe na sehemu ya kushikiaMo mjanja mjanja sana na kutoka hapo labda mtumie excavator atashika kila mguu ili ionekane anawadai pesa nyingi kumbe mngefanya mchakato wa wazi mngeweza.
Arsenal walipojenga uwanja na kuuita Emirates waliingia mkataba wa miaka mitano wakilipwa."Simba
Mo Arena"
ndio jina zuli la uwanja
Uwanja mwingine unaweza kuitwa "Simba Mangungu Arena"
Jina la Simba linatakiwa kuwa mwanzo kwakuwa ndio Jina la Club:
Simba inaweza kuwa na Arena nyingi tu:
Mo Simba arena hapo inaonesha uwanja ni wa mtu binafsi:
Simba ni kubwa kupita mwekezaji ambaye anaweza kujiondoa hapo baadae na kufanya mambo mengine, huku simba ikiendelea kuwepo sambamba na wawekezaji wengine
Umesahau Jayrutt nae hataki kubaki nyuma"Simba
Mo Arena"
ndio jina zuli la uwanja
Uwanja mwingine unaweza kuitwa "Simba Mangungu Arena"
Jina la Simba linatakiwa kuwa mwanzo kwakuwa ndio Jina la Club:
Simba inaweza kuwa na Arena nyingi tu:
Mo Simba arena hapo inaonesha uwanja ni wa mtu binafsi:
Simba ni kubwa kupita mwekezaji ambaye anaweza kujiondoa hapo baadae na kufanya mambo mengine, huku simba ikiendelea kuwepo sambamba na wawekezaji wengine
Jayruty ameingia kama mzabuni ila amewafumbua macho wanasimba kuhusu mo Dewji kuwa hapati faida bali hasaraUmesahau Jayrutt nae hataki kubaki nyuma