Atakuwa na maamuzi ya moja kwa moja ya klabu. Lakini pia kuna vitu hawezi kufanya kama kuiuza klabu nk. Mimi hoja yangu ni kama kapatikana mdhamini kaweza mzigo wa 4.5b yeye tatizo lake nn hapo? Si alisema Simba ni klabu tajiri inahitaji kuwa na budget kubwa sasa kama Sportpesa wanatoa 880m kwa mwaka yeye akija akatoa 500m tu kwa mwaka bado wengine wakijitokeza pia kuna AzamTV wanatoa 100m si tutafikia kile alichokuwa anasema?Mkuu unaelewa impact ya 51% lakini?
Hapa si mambo ya mapenzi na timu mkuu,sasa hivi tunazungumza kwa mikataba.
Umeeleweka ,ana nafasi bado ya kuidhamini timu na kuweka logo yake ikibidiAtakuwa na maamuzi ya moja kwa moja ya klabu. Lakini pia kuna vitu hawezi kufanya kama kuiuza klabu nk. Mimi hoja yangu ni kama kapatikana mdhamini kaweza mzigo wa 4.5b yeye tatizo lake nn hapo? Si alisema Simba ni klabu tajiri inahitaji kuwa na budget kubwa sasa kama Sportpesa wanatoa 880m kwa mwaka yeye akija akatoa 500m tu kwa mwaka bado wengine wakijitokeza pia kuna AzamTV wanatoa 100m si tutafikia kile alichokuwa anasema?
Na pia huyu mdhamini haingiliani na biashara zake yet anauza unga juice nk wao ni sports betting hakuna mgongano wa maslahi hapo.
Halafu pia Sportpesa mmoja wa wakurugenzi ni Tarimba obviously atakuwa keshaitaarifu kampuni yake (management) kuwa Simba ipo katika mchakato fulani ndio maana wakaweka pesa yao hapo.
Mhindi aache kulalamika.
Kaka kuna watu sijui wanatumia kiungo gani kufikiriYaani uifute Yanga kwa umbumbumbu wa viongozi wa simba?
Sasa kuwa na 51% inamaanisha nin???JF imevamiwa sikuizi.Kwani Mo ni mdhamini mmiliki au mwanachama wa kawaida tu? Mchakato wa umiliki wa klabu haujakamilika. Na hata ukikamilika huyo Mo atakuwa na 51% tu ya hisa sio kwamba atamiliki klabu moja kwa Moja.
Unajua Chelsea Roman Abramovich n Yokohama nani ni nani pale? Shirikisha ubongo wako.Sasa kuwa na 51% inamaanisha nin???JF imevamiwa sikuizi.