Simba Sc has gone against the agreement they made with Mo Dewji,so they are supposed to refund Mo with billion 1.4 if they are no longer in need of having a contract with Dewji
Worst viongozi ever, kwanza itabidi hata kukagua vyeti vyao. Huyu kumbe ndo maana embassy hotel ilikufa, bora hata wale wazee waliokuwa hawajui kuandika !! Kamati tendaji imejaa mbatata ndo maana eti makamu ndo acting katibu uliwahi sikia wapi ??
Kwani Mo ni mdhamini mmiliki au mwanachama wa kawaida tu? Mchakato wa umiliki wa klabu haujakamilika. Na hata ukikamilika huyo Mo atakuwa na 51% tu ya hisa sio kwamba atamiliki klabu moja kwa Moja.