Manji ni OPPORTUNIST hakuna mfano.Ku kodi kwa miaka 10? Jamaa tapeli sana.
Mo namuunga mkono kwani sidhani atataka kuendesha timu kwa hasara; na kufanikiwa kwake kwenye kuwekeza ndio mafanikio ya timu pia.
Nia kubwa ni kushindana kimataifa na ni kitu ambacho kinawezekana kama majungu ya wanachama yataekwa pembeni.
Kumekuwepo na mitizamo tofauti kuhusu matajiri Mo na Manji kujiingiza katika masuala ya soka. Tangu zamani Mo amekuwa akiisaidia Simba kwa hali na mali kwa manufaa na maendeleo ya klabu. Mo ameazimia kununua 51% ya hisa za klabu ya Simba kwa thamani ya Tsh bilioni 20. Aidha, nguli huyo wa kibiashara amemwaga noti zenye thamani ya Tsh 100 milioni ndani ya klabu ya Simba kwa ajili ya kusaidia usajili wa wachezaji vitasa. Hii yote ni kwa ajili ya manufaa na maendeleo ya klabu ya Simba SC.
Baada ya Manji kumsikia Mo alivyoazimia kuisuka Simba, roho ikamuuma. Eti sasa anataka kuikodi klabu ya Yanga kwa muda wa miaka 10 ili aitumie nafasi hiyo kupiga hela kwa manufaa yake binafsi kwa mgongo wa “ufadhili”. Anaona unyonyaji alioinyonya Yanga bado haujatosha, sasa ameamua kabisa kukodi klabu ili apige fedha vizuri.
Kwa lugha nyingine unaweza kusema kwamba Manji ni opportunist. Anatumia trick ya kupambana na Mo kwenye soka la watani wa jadi kwa manufaa yake binafi na familia yake. Eti mtu anakodi klabu kwa miaka 10 na wanachama wanamkubalia! Ama kweli hizi njaa za wanachama wa Yanga ni shida.
Manji amekuwa akiifaidi Yanga kisiasa kwa muda usiopungua miaka 20! Baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni ndani ya chama chake (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2000 kwa sababu ya kugawa rushwa kwa wajumbe, Manji aliamua kununua uenyekiti wa Yanga ili ajijenge kisiasa. Umaarufu wake wa kisiasa ulishuka sana tangu alipojihusisha katika ugawaji wa rushwa katika kura za maoni, Jimbo la Temeke. Alipoingia uongozini ndani ya klabu ya Yanga, umarufu wake umepanda hadi ameshinda udiwani wa Kata ya Mbagala. Kuibuka kwake kuikodi klabu ya Yanga ni ushahidi tosha kwamba sasa anausaka ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. Jamani tuwe makini sana na huyu K@njib@i…hana nia njema hata kidogo.
Ku kodi kwa miaka 10? Jamaa tapeli sana.
Mo namuunga mkono kwani sidhani atataka kuendesha timu kwa hasara; na kufanikiwa kwake kwenye kuwekeza ndio mafanikio ya timu pia.
Nia kubwa ni kushindana kimataifa na ni kitu ambacho kinawezekana kama majungu ya wanachama yataekwa pembeni.
mkuu, unasemaje? manji hajafanya timiting eeh? mbona kabla Mo hajataka kuwekeza Simba Manji alikuwa hakodi timu kwa miaka 10? Manji ametumia timing (kiutani wa jadi) kujifaidisha kupitia timu ya Yanga. Manji wala sio mwanachama wa Yanga ila yupo pale kimaslahi zaidi.Kwani Manji anataka kuendesha timu kwa hasara ?
Hizi deal za hao kuchkuch zote zinafanana approach tu ndio zimetofautiana,wote wanataka kuingiza hela kupitia hizo klabu.MO amefanya timing nzuri while Manji hajafanya timing nzuri
mkuu, unasemaje? manji hajafanya timiting eeh? mbona kabla Mo hajataka kuwekeza Simba Manji alikuwa hakodi timu kwa miaka 10? Manji ametumia timing (kiutani wa jadi) kujifaidisha kupitia timu ya Yanga. Manji wala sio mwanachama wa Yanga ila yupo pale kimaslahi zaidi.
mkuu bado hujajibu swali...mbona kabla Mo hajataka kuwekeza Simba Manji alikuwa hakodi timu kwa miaka 10?Kaa tena chini uandike kitu cha maana,binafsi siafiki hizi timu kumilikiwa na hao kuchkuch i know nia yao kubwa ni kutengeza hela kwanza.
Kutoa hiyo 100 m ya usajili ndio unaona msaada mkubwa ?
Yaani ni kioja timu ya mpira kukodishwa..!hahahahaha! kweli kabisa...itabidi wabadili jina kutoka YEBOYEBO FC kwenda MKODISHO FC.
mkuu bado hujajibu swali...mbona kabla Mo hajataka kuwekeza Simba Manji alikuwa hakodi timu kwa miaka 10?
Manji short term goal , MO long term.Kwani Manji anataka kuendesha timu kwa hasara ?
Hizi deal za hao kuchkuch zote zinafanana approach tu ndio zimetofautiana,wote wanataka kuingiza hela kupitia hizo klabu.MO amefanya timing nzuri while Manji hajafanya timing nzuri
Unatumia vigezo gani kusema long term ni best option kuliko short term ?Manji short term goal , MO long term.
Maji baada kukamilisha short term goal yake atakachoacha nyuma Yanga watajuta.
Ina weza kuonekana hivyo kwasababu ni mara ya kwanza ktk T'zania kwa walio tutangulia ni mambo ya kawaida sana.Yaani ni kioja timu ya mpira kukodishwa..!
Mambo ya kawaida kwa nchi gani.. acha kupotoshaIna weza kuonekana hivyo kwasababu ni mara ya kwanza ktk T'zania kwa walio tutangulia ni mambo ya kawaida sana.