Majibu
1. Simba ya wanachama wa Simba. Hii club inamilikiwa katika zama za Mwl wetu JK Nyerere japo tupo kwenye digial world. Anayeuza ni wanachama wa Simba ambao wao ndio wamiliki. Faida atakayopa itaonekana baada ya mahesabu ya mwaka kufanyika
2. Hio 20bln ni kununua maamuzi yaani kumiliki Simba kwa 51%. Kwa maneo mengine kuiendesha na kuisimamia Simba iwe kwa kutumia hizo 20bln pamoja na hela zingine na Assets zingine Simba walizonazo
3 & 4. 49% wanaendelea kumiliki wanachama wa Simba. Hizo hisa so far bado wanamiliki wanachama, lkn baadaye wakiamua kuuza watajua wenyewe huko. Ila kitakachobadilika kikubwa sana ni kuwa Mo ndio mwenye last say kama Ibra alivyo Chelsea. Akiamua kula sahani moja na Kocha anakula, na wanachama hawatakiwi kufungua mdomo.
Akiamua mchezaji fulani asisajiliwe ndo inakuwa hivyo na wanachama wanatakiwa ku shut up!
Anachokita mo ni money secure sio kununua timu mana kununua ni 100% ya hisa na kwa mana leo simba ikisema ifanye valuation ya mali na kuweka kwa dhamani ya hisa 100% sokoni uwenda simba isifikie bil 20 ndo mana matumizi ya pesa anayotaka yeye yawe sahihi kwa timu na sio kwa viongozi akatoa mfano akitaka matumizi yawe kwa kids funds na usajili na wengine au uongozi ukisema apana hela inaenda kwenye ndege ya club badae hela ile bil 20 ikikata nani mwenye kuumia kwasasa simba na dhamani yake aiwezi kutengeneza hela coz aijawekeza pakubwa inapata hasara na ye anataka money security si kingine kwan iyo pesa simba wakipewa watafanyia nn wakati wana asilimia 49 je na ye atoe hela yake mfukoni kwa kufanya malekebisho wakati nyie mnakula hela nje ya iyo pesa kama kuna faida mtagawana na hasara pia kwa asimilia na kama kuna mahitaji ki club nae atatoa kwa 51% na simba 49% sasa simba kama atatumia iyo bil 20 sawa au jingineNa MO akishachukua 51% yeye ndo mwenye maamuzi ya vikao.
49% haiwezi kuilazimisha jambo 51%.
Kwa hiyo swala la hata nani atapata share ya hizo 49% ataamua MO isipokuwa pale tu maamuzi yatafanyika kabla ya kumkabidhi MO na iwe sehemu ya mkataba wa makabidhiano
Inaonekana huelewi hata unachokisema
Simba wameshaona hayo matatizo ya Muundo na Mfumo ndio maana wameamua kuubadilisha
Na mfumo waliochagua Simba ni sahihi sana kwenda kwa kipindi hiki na ni mfuo unatumika na klabu zote zilizofanikiwa duniani na Africa
Tunachosema sisi....Ni Transformation hii ifanyike ki utaalamu sana ....Na kwa umakini mkubwa
Ila ishu kama tubadili mfumo au la...simba tumeshaaamua kuubadili huo mfumo
Raimundo ameuliza swali zuri hapa
Na katika swali hili la mkuu...naomba kukuza mjadala kama hivi....MO akipewa 51% anakuwa na Control ya Kampuni ya Simba.Investment kwenye TBond itafanywa na kampuni ya Simba. Return from Investment ya Bond itaingia kwenye kampuni ya simba ambayo MO ndiye mmiliki....Hauoni hapo kuwa hakuna SALE transaction? Kwa sababu mwenye kampuni MO atakuwa tu anatumia hela yake aliyoiweka kule BOT/Hazina kwenye TBond.
Ndio maana mi naona kuna umuhimu wa kuajiri Proffesional law firm ili kushauri muundo sahihi
Kweli mkuu nakubaliana na mabadiliko kwa timu ya simba lakini kwa njia anazozitumia mo kutaka kujimilikisha simba sio nzuri na sikubaliani nazo kwasababu anaforce mambo yaende fasta wakati wapenzi na wanachama wa simba awajapata elimu ya kutosha kuhusiana uwekezaji mkuuHowever,...hata kama akitumia hiyo advantage...its not a problem so far
Timu ibadilishe mfumo iwe kampuni.......
Katika hiyo miaka yote 80 Timu ilikuwa na hela? na ilifanya nini? Mpira wa sasa sio wa ujanja ujanja kama simba na yanga za miaka 80 iliyopita
Mkuu hili kuyumba kwa uchumi wa vilabu ni wimbi la dunia nzima si Simba tu.
Yanga wanasahau mapema hata Manji alishawahi kudokeza hili la Yanga Kampuni na Katiba yao ilipitishwa kwa nusu saa tu pale Polisi Mes ambapo Maniji alitaka 75% na 25% awanunulie Yanga hizo hisa
Kama tunafuatilia kwa makini, hamasa ya soka imeshuka duniani kote kutokana na mdororo wa kiuchumi na pengine njia mbadala kwa vilabu vingi kwa sasa ni kutegemea zaidi wazalishaji wa bidhaa za ndani kuwadhamini.
Roy Miller kutoka kitengo cha biashara ya michezo katika chuo kikuu cha Liverpool anasema kuwa hali kama hiyo haijawahi kuonekana kwa muda mrefu na ni ishara ya kwamba uchumi uko katika hali mbaya.
Wachambuzi wanaamini hata hivyo kuwa vilabu vikubwa kama vile mabingwa wa Uingereza Manchester United, Real Madrid na kadhalika siku zote zitaendelea kuwavutia wafadhili na washabiki wengi, lakini kwa vilabu vidogo hali ni tofauti.
Ligi kuu ya Uingereza ndiyo ligi yenye kuingiza fedha nyingi kabisa ambapo mwaka jana mapato yake yalifikia kiasi cha paundi billioni 1.5.Lakini ni vilabu vinane tu kati ya 20 vya ligi hiyo vinavyojiendesha kwa faida.
Maswali yameibuka juu ya majaaliwa ya udhamini wa kampuni ya kimarekani ya AIG kwa timu ya Manchester United wa dhamani ya paundi millioni 56.5 ambayo ni rekodi nchini Uingereza.Kampuni hiyo ya kimarekani imelazimika kuokolewa na serikali iliyonunua hisa kubwa za asilimia 80 baada ya kuwa katika hali mbaya ya kuelekea kuwa mufilisi.
Timu nyingine ya ligi kuu ya Uingereza ya West Ham Unitd hivi sasa haina udhamini katika jezi zao baada ya kampuni iliyokuwa ikiidhamini ya XL Leasure Group kufilisika.Nayo West Bromwich Albion iliyopanda daraja imeshindwa kupata ufadhili kufuatia kujiondoa kwa aliyokuwa mfadhili wake kampuni ya simu ya Ujerumani ya T-Mobile.
Newcastle United nayo ilikaribia kuwa katika hali hiyo baada ya mfadhili wake benki ya Northen Rock kuokolewa na serikali ya Uingereza kufilisika ambapo huko Italia timu ya Lazio kwa sasa inacheza bila ya kuwa mfadhili .
Hata hivyo kwa mujibu wa wachambuzi na watalaam wa masuala ya ufadhili katika michezo, timu kama Manchester Uinted haitopata shida kupata ufadhili mwengine iwapo serikali ya Marekani itaamua kuondoa ufadhili wake baada ya kuwa imechukua hisa kubwa katika kampuni ya AIG. Pippa Collet ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni inayohusika na ufadhili kwenye sekta ya michezo anasema kuwa udhamini katika kandanda kwa muda mrefu umekuwa ukipewa thamani kubwa kuliko inavyostahili, na kwamba hivi sasa kunafanyika marekebisho katika soko la udhamini.
Tanzania haipo kwenye kisiwa, unaona hata mfadhili wa hivi karibuni wa simba kwa kiasi kikubwa HZP amenza kuchoka kutumia fedha zake kusajili, ilihali hata idadi ya watazamaji imepungua sana, na mzalishanji wa bidhaa anayejitutumua kwa sasa ni Azam pekee kupitia udhamini wa TV yake
hakuna namna
nitaurid nikupe udadavuzi wa HISA ZA MO
Mkuu Belo, unaonaje Mo anafaa kuinunua Simba moja kwa moja kwa hizo hisa 51%
Watu wanapenda kuiga sana mambo, miezi mitatu ni michache mno.
Simba ibadilishe mfumo wake wa uendeshaji wa klabu (sio timu) halafu wanachama wote wawe na uanachama na walipe ada ya uanachama.
Pia Simba iwe na uwanja wake wenyewe wa kuwaingizia kipato na vyanzo vingine vya mapato na sio kula na TFF na pesa yote kupotea bila daftari.
Wanachama wanaohudhuria mikutano kama wa kule Oysterbay ambao ni 700 si wanachama wote wa Simba Sports Club.
Wanachama wote wa klabu ya Simba wasajiliwe upya na waingizwe kwenye mfumo wa klabu yaani majina yao na taarifa zao viwe kwenye computer.
Wanachama wote wakisajiliwa nchi nzima utapata watu Zaidi ya watu 500,000 au Zaidi (hiyo ni estimate tu).
Hii ni kwa timu zote hata Yanga pia na ukiishafanya hivyo, klabu inatafuta watu wenye sifa ya kuendesha klabu ya mpira kuanzia CEO hadi meneja wa timu.
Kule juu kunakuwa na bodi yenye , mwenyekiti, wamiliki wa klabu (wale wenye hisa kubwa) na wadhamini.
Hili suala ni gumu sana lakini kama mmiliki wa TP Mazembe ameweza basi Mohamed Dewji nae ataweza, ila Simba ibadili mfumo wa uendeshaji wake halafu Mo ndio aingie.
Hebu tuwekane sawa tofauti ya kuuza na Ku share holding !! maana tusije kutoka mishipa ya shingo ilihali hatujui tofauti ya maneno haya mawili au msambamba wakeSo, hiyo hela ikitolewa watapata chochote?
Maana wao watakuwa ndo wameuza timu siyo?
Anza wewe kujibu Mo amesemaje .... Auziwe timuHebu tuwekane sawa tofauti ya kuuza na Ku share holding !! maana tusije kutoka mishipa ya shingo ilihali hatujui tofauti ya maneno haya mawili au msambamba wake
Maswali mazuri sana........Nilichojifunza kwenye mchakato huu Mo anataka kukimbiza mambo kwa spidi ili kuwaingiza kingi simba
Hili zoezi inatakiwa samba ndio wawe on top of the game na sio MO........
Maswali yako ni ya Msingi sana...Na ndio maana katika transaction hii kuna umuhimu wa Simba kwenda taratibu sana
Kwa msingi wa kuhakikisha hii long living brand inabaki na thamani yake.....MO ni business man...anavutia upande wake wa faida za kipindi kijacho...sio miaka mitano ijayo...miaka mingi
Hivyo basi nikiwa naunga mkono transformation hii lakini please smart people wawe makini Simba I control hii process na sio MO
CC sembo grafani11 mkolaj Amavubi
Mkuu hili kuyumba kwa uchumi wa vilabu ni wimbi la dunia nzima si Simba tu.
Yanga wanasahau mapema hata Manji alishawahi kudokeza hili la Yanga Kampuni na Katiba yao ilipitishwa kwa nusu saa tu pale Polisi Mes ambapo Maniji alitaka 75% na 25% awanunulie Yanga hizo hisa
Kama tunafuatilia kwa makini, hamasa ya soka imeshuka duniani kote kutokana na mdororo wa kiuchumi na pengine njia mbadala kwa vilabu vingi kwa sasa ni kutegemea zaidi wazalishaji wa bidhaa za ndani kuwadhamini.
Roy Miller kutoka kitengo cha biashara ya michezo katika chuo kikuu cha Liverpool anasema kuwa hali kama hiyo haijawahi kuonekana kwa muda mrefu na ni ishara ya kwamba uchumi uko katika hali mbaya.
Wachambuzi wanaamini hata hivyo kuwa vilabu vikubwa kama vile mabingwa wa Uingereza Manchester United, Real Madrid na kadhalika siku zote zitaendelea kuwavutia wafadhili na washabiki wengi, lakini kwa vilabu vidogo hali ni tofauti.
Ligi kuu ya Uingereza ndiyo ligi yenye kuingiza fedha nyingi kabisa ambapo mwaka jana mapato yake yalifikia kiasi cha paundi billioni 1.5.Lakini ni vilabu vinane tu kati ya 20 vya ligi hiyo vinavyojiendesha kwa faida.
Maswali yameibuka juu ya majaaliwa ya udhamini wa kampuni ya kimarekani ya AIG kwa timu ya Manchester United wa dhamani ya paundi millioni 56.5 ambayo ni rekodi nchini Uingereza.Kampuni hiyo ya kimarekani imelazimika kuokolewa na serikali iliyonunua hisa kubwa za asilimia 80 baada ya kuwa katika hali mbaya ya kuelekea kuwa mufilisi.
Timu nyingine ya ligi kuu ya Uingereza ya West Ham Unitd hivi sasa haina udhamini katika jezi zao baada ya kampuni iliyokuwa ikiidhamini ya XL Leasure Group kufilisika.Nayo West Bromwich Albion iliyopanda daraja imeshindwa kupata ufadhili kufuatia kujiondoa kwa aliyokuwa mfadhili wake kampuni ya simu ya Ujerumani ya T-Mobile.
Newcastle United nayo ilikaribia kuwa katika hali hiyo baada ya mfadhili wake benki ya Northen Rock kuokolewa na serikali ya Uingereza kufilisika ambapo huko Italia timu ya Lazio kwa sasa inacheza bila ya kuwa mfadhili .
Hata hivyo kwa mujibu wa wachambuzi na watalaam wa masuala ya ufadhili katika michezo, timu kama Manchester Uinted haitopata shida kupata ufadhili mwengine iwapo serikali ya Marekani itaamua kuondoa ufadhili wake baada ya kuwa imechukua hisa kubwa katika kampuni ya AIG. Pippa Collet ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni inayohusika na ufadhili kwenye sekta ya michezo anasema kuwa udhamini katika kandanda kwa muda mrefu umekuwa ukipewa thamani kubwa kuliko inavyostahili, na kwamba hivi sasa kunafanyika marekebisho katika soko la udhamini.
Tanzania haipo kwenye kisiwa, unaona hata mfadhili wa hivi karibuni wa simba kwa kiasi kikubwa HZP amenza kuchoka kutumia fedha zake kusajili, ilihali hata idadi ya watazamaji imepungua sana, na mzalishanji wa bidhaa anayejitutumua kwa sasa ni Azam pekee kupitia udhamini wa TV yake
hakuna namna
nitaurid nikupe udadavuzi wa HISA ZA MO
Precisely....kimsingi hiyo ndiyo position yangu...na hapo ndipo umakini wa wanasimba unatakiwa kuwepo
Hii timu ina historia yake ...kumpa tu mtu mmoja hivi bila utaratibu makini ni hatari
Hii kazi ingefanywa na professional firm ya sharia katika kushauri structure nzuri
Kwel kabisa mkuu watakua wananufaika na mfumo uliopo, kwa maana kwamba watakua wanapiga hela, haiwezekani litimu linaboronga kila siku migogoro, hela halina, halafu anakuja mwekezaji tena sio mwekezaji tu bali nae ni mpenz na mwanachama wa simba, kwa mapenz alonayo na maumivu anayopata kutokana na timu kuboronga anataka kuisaidia isiboronge af watu wenye interest zao binafs wanampinga, sisi mashabiki tunakuunga mkono Mo, half ao wanaopinga mchukue mmoja muulize kipind iki ambacho klabu haina hela we umetoa shilingi ngap kuisaidia katka usajili na vingine? Mo katoa 100milPlan kubwa sana,Jamaa ni STRAIGHT VISIONARY..
Klabu kubwa mbele ziko ktk mfumo km Huu,na zimefanya vitu vikubwa..
I hope wanaopinga mabadiliko haya,wana Interests zao binafsi si interests za kuisogeza klabu mbele,all z best Mo