wee EZAN akili yako finyu sana, Mwaka 2005 MNYIKA hapo MLIMANI alipata kura nyingi sana toka kwa malecturers, familia zao pamoja na wanachuo. Mimi uchaguzi huu wa 2010 nilitoka Mwanza nikaja kuwapigia kura Chadema alafu unaleta HADITHI. Huna hata aibu, uko kama AL-SAAF wa TANZANIA.